CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 950
Gooooooooooooooooooooooooooooo!
We uko makini sana Mkuu nilikuwa namaanisha hakuna nomi,sasa ndo hivyo tena si unajua tena haya madude ya Touch Screen sometimes yana madhara yake,pamoja sana mkuu wangu,nyomi lazima kwa sasa ndio nataka kuana safari kwenda uwanjani,natokea maeneo ya Malimbe Nyigezi huku nilikuja kuwaona wadogo zangu wawili wanasoma hapa,na mimi pia nimekaa hapakama miaka mitatu mkuu,nikifika uwanjani nitakujuza,lakini taarifa nilizo nazo ni kwamba uwanja kwa sasa bado haujatapika na sijui kama utatapika kama kwenye ile mechi kati ya Yanga na Esperance ya Tunia ligi ya Mabingwa ambapo mtu mzima Manji aliilipia Cash Milioni 120 watu waingie Bure,ebwanaeeee uwanja ulitapika na tangu hapo haujatapika hivyo tena!.
góoool
Mbona hicho kikosi cha Yanga kimejaa nyuso zenye huzuni, ndio kusema hawajala?Kikosi cha Yanga
View attachment 101060
Mods naomba muunganishe hizo picha kule juu mwanzo wa Thread.
góoool
Ngojeni Mtafungwa tu.Dakika ya 17 Yanga wanakoswa bao Deo Munisi anaokoa.
Hebu andika vizuri basi...ni goal au sio goal
Kwa mijezi hiyo waliyovaa hao wajinga wajinga lazima 'wachambie' viwembe leo.
Kwa mijezi hiyo waliyovaa hao wajinga wajinga lazima 'wachambie' viwembe leo.
Huyo hawezi kuwa ametumwa na Simba labda ametumwa na Rage.Huyu jamaa ana matatizo sana hakuna goli mpaka sasa mkuu,sijui ametumwa na simba?!
Jamani naomba update zinahusiana na mechi atupe huyu mkuu sana ng'wanangwa wabejasana aliyeko uwanjani.