ndetichia
Platinum Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,590
Dakika ya 20 Bahanuzi anakosa bao akiwa ndani ya 6 anaiga shuti linakwenda nje ni baada ya kuwalamba chenga mabeki wawili wa KCC!
ooh bahanuzi sijui nini ololo na bado kamtoe..
Dakika ya 20 Bahanuzi anakosa bao akiwa ndani ya 6 anaiga shuti linakwenda nje ni baada ya kuwalamba chenga mabeki wawili wa KCC!
habari za saa hii wakazi wa humu ngapi ngapi naona kelele tu hapa..
Yanga wa ******** kama pinda
chezea ndumba za jerry tegete wewe..
Haya bdakika ya 32 Bahanuzi anakosa bao lingine akiwa yeye na kipa.
Haya bdakika ya 32 Bahanuzi anakosa bao lingine akiwa yeye na kipa.
Mbona Tegete mwenyewe naye yale yale tu...
Mkuu mbona umeingia na mkwara sana?!!
Hii ngoma inakwenda kuishia 2-1!
Wakuu mwigulu nchemba yupo uwanjani,,muda si mrefu katoka kuwasalimia benchi la ufundi la yanga[/QUOTE
Tumemuona na tuna picha ake akiwa amebeba kombe la wanaume yanga sema kingine!
Wakuu mwigulu nchemba yupo uwanjani,,muda si mrefu katoka kuwasalimia benchi la ufundi la yanga
Mpira umekwisha Yanga 1-KCC 1 kKesho Shinyanga WAKUU WABHEJASANA!
KCC wanasawazisha dakika bao katika dk ya 45 kupitia kwa kapteni wao Lukwiya Rogers!