LIVE UPDATES:Yanga SC Tanzania vs KCC Uganda

LIVE UPDATES:Yanga SC Tanzania vs KCC Uganda

Bwana hii mechi haikupewa matangazo ya kutosha.,,ila nipo ndani ya uwanja,,gemu linachezwa kama mazoezi ila kavumbagu hastahili kuwa kikosi cha kwanza,,
 
Unataka Updates zipi Mkuu tofauti na hizi zinazoletwa hapa?!,haya dakika 26 KCC wanakosa bao.
Mkuu wewe huoni kuna wengine wanaandika mara goal, tunashindwa kujua ndo maana nikapendekeza wewe uliyeki Kirumba ndo utupe update.
 
Wakuu mi Yanga lakini bado sijaona mpira ule wa Yanga na hasa waliombamiza simba katika mechi yao ya Mwisho ya ligi kuu!!,hata kama kikosi kinaonekana ni kama vile cha pili,lakini watu wazoefu kama akina Twite,Nizar,Oscar NA tEGETE NILITARAJIA WAWE WAMESHAMLAMBISHA MTU HAPA!
 
hawa yanga hamna kitu mbona wanabutuabutua tu , alafu eti ndo bingwa uyu
 
Mkuu wewe huoni kuna wengine wanaandika mara goal, tunashindwa kujua ndo maana nikapendekeza wewe uliyeki Kirumba ndo utupe update.

oK basi kama ni hivyo nifuate mkuu,nimeshamwambia huyo jamaa aache kupotosha mada hapa.
 
Wakuu mi Yanga lakini bado sijaona mpira ule wa Yanga na hasa waliombamiza simba katika mechi yao ya Mwisho ya ligi kuu!!,hata kama kikosi kinaonekana ni kama vile cha pili,lakini watu wazoefu kama akina Twite,Nizar,Oscar NA tEGETE NILITARAJIA WAWE WAMESHAMLAMBISHA MTU HAPA!
Dalili ya mawingu ni mvua
 
Hivi vijamaa KCC vinapiga kweli sio mchezo halafu kuna mashabiki wa Simba kulia kwangu mwa uwanja wa CCM Kirumba wanaishangilia kweli,lakini kiukweli mpaka sasa vimejitahidi,vimeidhibiti Yanga na vimepanga mashambulizi na vimeshamkosa Deo Munishi mara tatu wakati Yanga imewakosa mara moja tu ikiwa ni dakika ya 34.Yanga wanakosa bao la WAZI Kavumbagu anamlamba chenga kipa wa KCC Oginga anaitenga kwenye kwenye 18 watu wanashindwa kuweka kwenye nyavu!
 
Watu wanashupalia Kweli mechi ya kirafiki kikosi cha pili Hamna hata Aibu! !!
 
Dakika ya 40 Hamis thabit anapiga kigongo kikali nje ya 18 KWA GUU lake la kushoto na kutinga ndani ya kimia.
 
Huyu Kijana ni mfupi lakini amejengeka mwili kama Ngasa na amekaa kimpira sana.Hongera sana kijana Hamis Thabit.
 
Back
Top Bottom