LIVE UPDATES:Yanga SC Tanzania vs KCC Uganda

LIVE UPDATES:Yanga SC Tanzania vs KCC Uganda

Ahahahahhhh, nilitamani kuwaona yanga, longtime tangu wamecheza na toto africa
Siyo lazima nyama kwa nyama bhana,ata kwa condom inanoga,wewe fatilia humu ndani tuu mkuu!
 
Fidel80, niko saluni nasuka, sitaiwahi aise, inaniumaje? sijui kesho niende shinyanga?
Tafuta vitenge ufunge tu kichwani utoke kimama afrika wakati unaenda kushangilia young afrika, ina nasikitika KCC lazima watembeze kipigo kwa hiyo kama utafuata ushauri wangu wa kufunga kitenge kichwani angalia usije ukajikuta huna kwa kushika shika kichwa ukilaumu jinsi Ngasa atakavyokuwa anakosa magoli ya wazi.
 
Mwenye kukijua kikosi cha KCC naakiwe ili tujue wana wachezaji wa kiwango gani?
 
Mbona kimya? ndio kusema haujaanza au makusudi tu?
 
kikosi cha yanga
1. Yusuph abdul
2. Juma adbul
3. Oscar joshua
4. Rajab zahir
5. Mbuyu twite
6. Salumu telela
7. Nizer halfan
8. Hamis thabit
9. Tegete
10. Kavumbagu
11. Mguli 'messi'
sub: dida, bahanuzi, kondo, gadafi, ngao, job
 
Mbona hicho kikosi cha Yanga kina majina mengi mapya!!
 
Mpira umeanza dakika ni ya sita bado bila bila,timu zote zinasahambuliana kwa zamu,lakini kwenye kiksoi cha Yanga hakuna wachezaji kama vile Niyonzima,Ngasa.nawawekea vikosi vyote muda mfupi.
 
mbona Updates zimekatikia hewan vp?alooo !!alooo Obvan unanipata hapo.........
 
Back
Top Bottom