hahahahahaha LITTLE Angle kitu laini ile yaani mafuta tupu.
DEMBA wewe! Nimechekaje!hee hee kama babake kule tpf alivyopwaya hadi wakamtimua.
haa haaa basi sio mbaya hata ukiwa unavote pia.
show inaboa na usingizi umegoma...
majangaaa
mwenzangu tpf hawataki ujinga atii. wapo kikazi zaidi,
mchuano umekuwa mgumu hadi naogopa.
mwakijambile unacheza mnoo
mpaka sauti inapauka