hawa wezi jamani haaa eti tuendelee kupiga kura hadi saizi? hivi wanazihesabu au wanatusumbua tummmmh mie naona bss ya mwaka huu imepooza sn, ila nimependa kuwapa nafac ya kila mmoja kurecord wimbo wake
haina amsha amsha kabisa atoto .
Little Angel cam zis wei. ile kitu imeanza
hawa wezi jamani haaa eti tuendelee kupiga kura hadi saizi? hivi wanazihesabu au wanatusumbua tu
kuna namna majaji wa bss wananiboa..hasa hawa wa kitivo
mwallu nakwambia acha tu. Anatumia viungo vyake vizuri.sasa huyu na panya na mauno yake mpaka anajisahau kuimba ndo nini sasa?
af playback ya ivi ata hainogi
sasa huyu na panya na mauno yake mpaka anajisahau kuimba ndo nini sasa?
af playback ya ivi ata hainogi