uku watu ndoo wanaperform sio BSS
sauti hamna
wanacheza mpaka sauti zinaisha
na waitikiaji nao sauti zao mbaya tu
kiufupi sijapenda show ya bss
baada ya kusema hayo nawatakia usiku mwema
tuwahi ibada kesho
mi ni usingizi tu unagoma DEMBA . Ila huyu Melisa ananigusaaa
sauti hamna
wanacheza mpaka sauti zinaisha
na waitikiaji nao sauti zao mbaya tu
kiufupi sijapenda show ya bss
baada ya kusema hayo nawatakia usiku mwema
tuwahi ibada kesho
Lol...judgement za Hawa watu!!
Fid q eti bora ulivyoimba mduara.. wakati aliyeimba no maina si Amina