Little Angel
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 1,212
- 373
kwakweli bss bila salama ni km tpf bila ian
Upo sahihi kabisa...
kwakweli bss bila salama ni km tpf bila ian
aaaa LITTLE Angle si uniambie tu jaman
maaaa weeeh! Mauno nje!!?
ila naona anajitaid kuliko mwakijambile jamani
aaaa wee atoto labda hujafatilia vizuri bss. Maina kwa mwakijambile bado sana labda kwa mauno
LITTLE Angle Nikiyaona sa sinitakuwa kipofu ghafla!! Hahahahahahahahaha
natamani Melisa achukue hiki kitita cha Bss
hahahaha...hivyo si vituko ni balaa...hahahahahaha
mie mwakijambile huwa naona anajikamua sn kutoa sauti, na anacheza mno mpaka anashindwa kuimba, inshort hana pumzi na anaimbia puani
ila jamani kipindi cha usaili huwa wanaongeza sn cku za kuishi, maana hivyo vituko si mchezo, waweza cheka mpaka ulie
Me too