mwallu
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 6,787
- 4,217
melisa yeye anasahau hata position ya mic...ila wimbo wake mzuri sana...namuona shaa mwingine apa..kwa sauti
amesahau kwamba haya ni mashindano ya kuimba na si ya mauno