Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,016
- 110,640
kumbe na wewe mdau.
hahaha...hapana si mdau kihivyo ndio maana hunioni sana huku.
nimekuja kuwasabahi tu
kumbe na wewe mdau.
Nimegundua hili shindano hali tabiriki.
Sasa ni zamu ya CHUYA eeh...
hahaha...hapana si mdau kihivyo ndio maana hunioni sana huku.
nimekuja kuwasabahi tu
mm hata sijui nadhan tbc wataonesha baadaesaa ngapi?...
sijui labda TBC1 ila bado hawajaanza
Jamani sasa TPF kila nchi except Kenya imebakia na mshiriki mmoja mmoja. So kura hazigawanywi tena. Ni kufa na kupona kwa Hisia
I wish Nyambura angetoka Phiona abaki. I love that mdada jameni.. She's so humble
Nilicho tabiri mchana mmekiona????
Leo nimewakosa TPF6 nilikuwa na ratiba ngumu, ndo narudi. Hebu nambie kulikoni?
I wish Nyambura angetoka Phiona abaki. I love that mdada jameni.. She's so humble
Leo nimewakosa TPF6 nilikuwa na ratiba ngumu, ndo narudi. Hebu nambie kulikoni?
Nyambura atabaki hadi mwisho.