hee hee labda phiona anamcomfot
mmmh ngoma inogile
Wivu wangu ulimkondesha
maana yake nini?
Kuna watu wanazidi kuhatarisha maisha ya Hisia kwenye academy.
Lets pray for him.
kwa nini hisia hajapewa nafasi ya kuimba wimbo wake? mbona wimbo wake wameimba wote? mie sijapenda namna hii watu hawawezi ona kipaji chake
Ndo anatoka sasa........!!!!chezea fitina zangu