Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

haa haaaa leo zamu yako pacha. wenzio tulikomaje kumuombea kura angel? usijali mie ntampigia online. si unajua tena mimi na wewe damdam japo unamtamanigi shem wako Kaizer

baby DEMBA umeniita huku?
 
Last edited by a moderator:
Ma dia funs jana ckuwa active sana network ilikuwa inanipa majanga.. Nimefuatilia comments zenu nimefurahii.

My opinion Biour atarud kwao na hiyo american english yake.. Nyambura atarud by audiance votes. Btn Sitenda na Patrick mmoja atarudishwa kundin na faculty
 
hahaaaa Bior na mie nna mashaka sana.....na yule mdada mganda.hata mie jana network ilikuwa inazingua sana

nilikuwa nakasirikajeee

siku njema dia
 
Patrick no 9 if am not mistaken......si eti pacha DEMBA!!!Hyo no ya shem wko
 
Last edited by a moderator:
daa atug me leo sijacheck na huku network ina sumbua sana mbona sioni updates?

Kavutha aliwaonyesha clips zao za perfomance ya last sunday na kutoa maoni as usual. Yule dada cjui ni producer am not sure amewapa nyimbo za kuimba this week. Nyimbo nyingi ni nzuri kwa upande wangu nimezipenda kuna valuvalu ya Camelion. So let continue watching kila cku
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom