Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

ian hajafurahishwa na perfomance ya amos and josh. hanaga unafiki huyu bwana
 
hii kitu umeifuatilia sana. utakua unanipa matokeo. nipe ratiba niwe nakusaidia kuangalia. na nikiangalia nahitaji kujua wamshabikia nani ili na mimi awe huyohuyo kama akitolewa tulie wote. mia

hahaha Husby nipo hapa kwa ajili yako usijali
 
hawa wakenya watawabebabeba hawa majamaa lkn kuna wakati mbeleko itatoboka. Haiwezekani watu wanasaidiana kuimba kwanza sauti ni mbaya na harmonization yao haipo kali kivile.embu wawaambie waimbe mmoja mmoja muone vituko. Waonolewe kwanza wanaaribu budgeti ya msosi
 
Hawana muda mrefu TPF....Utaniambia..
 
kojjo mzee wa kujishaua tuone atakavyoimba
 
leo hamna
nimefurahi hisia hajaangusha...ila haya majamaa mawili haya hayanitsha see

umeona hee mwallu. hawa jamaa wanaogopesha sana utafokiri wamezaliwa wanaimba.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom