Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Jamani mie siku hizi nimekabwa na shughuli flan yaan ntakuwa nafatilia updates hapa tu!!! Nakushukuru mkuu atug kwa kunistua
 
Last edited by a moderator:
atug baby umeangalia hii makitu leo?
 
Last edited by a moderator:
DEMBA nilitaka kukuuliza kama umeangalia kumbe nawe hukuangalia bhana. sasa updates tutapata wapi?

mimi nimeangalia kidogo.nimeona walioko probation walienda meet and greet. edu kama kawaida amewafundisha dancing, pia kuna baadhi ya contestant kama josh, amos na fess walipata suprise ya calls kutoka kwa mama zao.
 
Ma dia hata cjaangalia nilikuwa mbali na Tv.. Km umeangalia nipe updates

soma hapo juu nimempa ruttashobolwa. halafu unajua sijajua namna hisia anavyochanga karata zake, mbona ndani ya house yupoyupo tu, hata mazoezi ya edu leo sijamuona.
 
soma hapo juu nimempa ruttashobolwa. halafu unajua sijajua namna hisia anavyochanga karata zake, mbona ndani ya house yupoyupo tu, hata mazoezi ya edu leo sijamuona.

Thanx nimesoma.. Hisia hachangamkagi sanaa i don't kno why
 
Mpigie debe shem wako.......

leo nilikuwa napitia vote poll ya TPF naona patrick anaongoza akifuatiwa na Nyambura then Bior

wa Mwisho Sitenda ko yuko kwenye nafasi poa tu........I voted for him kwa ajili yako
 
mimi nimeangalia kidogo.nimeona walioko probation walienda meet and greet. edu kama kawaida amewafundisha dancing, pia kuna baadhi ya contestant kama josh, amos na fess walipata suprise ya calls kutoka kwa mama zao.

asante na UPDATES yaani mie ni mvivu kuwatch nawahi kulala sana weekdays
 
Thanx nimesoma.. Hisia hachangamkagi sanaa i don't kno why

Nilidhani hili nimeliona pekeangu...jamaa sio muongeaji sana hata wakienda nje ya academy huwa simuoni...imebidi niwe shabiki wa FESS kwa muda...jamaa hana majigambo kama wenzake wakenya wanavo_behave inshort yuko socio sana
 
Nilidhani hili
nimeliona pekeangu...jamaa sio muongeaji sana hata wakienda nje ya
academy huwa simuoni...imebidi niwe shabiki wa FESS kwa muda...jamaa
hana majigambo kama wenzake wakenya wanavo_behave inshort yuko socio
sana

mkuu UGOKO MKAVU hujawahi muona wakitoka nje ya academy coz wanaoenda meet and greet ni wale walioingia probation tu.
 
Last edited by a moderator:
Mbele ya Tv waiting to watch daily TPF episods
 
Back
Top Bottom