Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,863
- 14,344
Mbele ya Tv waiting to watch daily TPF episods
tupo pamoja
Mbele ya Tv waiting to watch daily TPF episods
tupo pamoja
wacha tukazane, akishinda basi uniongezee kamtaji ka biashara yangu ya mama ntilie
Mbona Hisia kapooza kwenye hii class la Prof Catherine
Hahaaaa Kojjo kaambiwa luk against the wall alisahau maneno ya wimbo wa valuvalu
kojo anaonekana hajui kiswahili kabisa
kwa hiyo weekend hii hisia ataimba "oliver twist"
Yess ma diaa.. Hata wimbo atakauimba patrick mzur
Dili hilo...........shem wako akishinda wewe na switito wako Kaizer mtakuwa mahala pazuri sana.:smile-big:
aisee hili deal miss strong hebu come zis way utufafanulie uzuri
nipo in front
miss strong kam zis weiEndelea kuhamasisha shem.....niamin mimi kuwa hutajutia baadae.