Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Ha ha ha pacha hata hodi ya vichaa kuna wale ambao ndo wanaanza kupona pona.....Msechu alitokea humu.
kila kitu huwa naona hakipo sawa kuanzia majaji, washiriki, mamc,wanakitivo,hadi stage.
 
kila kitu huwa naona hakipo sawa kuanzia majaji, washiriki, mamc,wanakitivo,hadi stage.

they have a long way to go kusema na ukweli.........

ila nimecheka sana wakati wale washiriki walioko chini ya master J sa kale kadada wakati

kanaimba master J anashangiliaje huyo........hadi anaenda kwenye stage....yani
 
Anajitahidi sana kuimba.na wakenya pia wanavote sana

Kwahiyo ni yote......mcheza kwao pamoja a kipaji anacho vitamtoa kwenye domo la mamba...........
 
Back
Top Bottom