atug
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,836
- 3,680
hhaa ule mwili hauwezi kupungua now.........apigetu mazoezi awe mwepesi
tutampeleka kwenye shindano la slimfit competation atapungua tuu

mi Hisia nampenda.....na huyo ni choice yangu hapo uzalendo pia unahusika
ila Bior mwenzio nimeona kuimba mmh mhh
halafu wadada wa kenya wanampendaje sasa?
mi Hisia nampenda.....na huyo ni choice yangu hapo uzalendo pia unahusika
ila Bior mwenzio nimeona kuimba mmh mhh
tutampeleka kwenye shindano la slimfit competation atapungua tuu
Jamani nahitaji kura za Shem wenu PATRICK.....pacha DEMBA, Heaven on Earth, Ruttashobolwa, Little Angel, genekai, atug, mwallu
Huku BSS kichwa Melissa,Mwakijambile,Mandela ingawa hajielew pamoja na Joshua
Ninahisi msudani sasa atatupiwa virago vyake na yule mama mkenya atarudishwa na watazamaji. Just thinking aloud, though!
mie hata sionagi vichwa huku.
Ninahisi msudani sasa atatupiwa virago vyake na yule mama mkenya atarudishwa na watazamaji. Just thinking aloud, though!
Jamani nahitaji kura za Shem wenu PATRICK.....pacha DEMBA, Heaven on Earth, Ruttashobolwa, Little Angel, genekai, atug, mwallu
Jamani nahitaji kura za Shem wenu PATRICK.....pacha DEMBA, Heaven on Earth, Ruttashobolwa, Little Angel, genekai, atug, mwallu
Bior na mie nna mashaka sana,ka so yeye au yule mdada wa Uganda......Nyambura will be saved by the mass nakubalia