Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,863
- 14,346
Goodnight ooo,sikuona Tusker na hii kitu ya bss inaboaa yani very zii i
yaani ukitoka kuangalia TPF halafu uje kuangalia BSS unaweza pata stroke
Goodnight ooo,sikuona Tusker na hii kitu ya bss inaboaa yani very zii i
charminglady mwenyewe unaenjoy?Mwaki kafunikaaa!
Kweli kabisa..
Haya mambo sijui kwa nini.....
Yaani Bibi kanitelekeza utadhani hatujuani kabisa.....
Bora mashindano haya yaishe turudi kwenye maisha yetu ya akwaida...
Babu DC!!
charminglady mwenyewe unaenjoy?
Na hawa jamaa wa music wa bongo wangeacha kwani baada ya kuangalia TPF inakuwa vigumu kuivumilia BSS....
Na hawa majaji huwa wahapulizi kweli??
Babu DC!!
Na hawa jamaa wa music wa bongo wangeacha kwani baada ya kuangalia TPF inakuwa vigumu kuivumilia BSS....
Na hawa majaji huwa wahapulizi kweli??
Babu DC!!
atug mwenzio nimechoka mwaya,Usiku mwemaDEMBA mwenyewe nachukulia as comedy,may b Heaven on earth kachoka
Shikaamoo Babu DC......
Bibi nae ni mpenzi wa haya makitu......
wangejiba break japo kidogo............
yaan bss ni takataka fulani......
yaani ukitoka kuangalia TPF halafu uje kuangalia BSS unaweza pata stroke