halafu huyu angel wa Tz kuna mtu anajua anatokea wapi?
jina lake halisi in full ni nani?
anasoma?
badala ya kunipa majibu unahuna tu..
hupendi?
atug kumbe jenifera alishafall kwa mmoja wa undercover brothers?Little Angel hera i am..kuhusu Angel i only kno her fast name hilo la Angel kuhusu kusoma mhh.nisijedanganya buree sijui ila anatokea dar
mimi binafsi huwa naboreka mno na ma mc wa kibongo
maaelezo meengi utasema siasa
miss tanzania huwa inaboa kwa ma mc wabovu
Dr Mich yuko short and still funny...
Little Angel hera i am..kuhusu Angel i only kno her fast name hilo la Angel kuhusu kusoma mhh.nisijedanganya buree sijui ila anatokea dar
U hv said ukweli.. Wajifunze kutoka kwa Dr Mich hasa huyu kaka wa bss anaetangaza jina limenitoka uwii hawez hawez. Hata majaji hapana kwakwel
watu hawacheleweshi Little Angel
watu hawacheleweshi Little Angel
Biashara asubuhi jion mahesabu
Hahahaaa.....Ila kweli....