Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

haya ndo matatzo wa mvinyo mzuri kutangulia mezani
 
jamani huyu Vanessa hilo gauni mmmh. hata hajimkaa
 
Haya mambo sijui kwa nini.....

Yaani Bibi kanitelekeza utadhani hatujuani kabisa.....

Bora mashindano haya yaishe turudi kwenye maisha yetu ya akwaida...

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom