Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

hila angle yuko kwenye prob.
Bss wana mambo mengi sana ya kujifunza kutoka TPF6.

Yani kuanzia majudge hadi jinsi watu wanavyo perfom kwakweli TPF ni level nyingine.

Kwakweli BSS niliangalia wiki hii na sikuona anaye imba kabisa zaidi ya makelele.

Ukiangalia host wa show ya Bss yani hakuna kitu kabisa.
 
jamani @ruttashobolwa Heaven on earth atug @miss strong basi muage mnaangalia hizi show za TPF za weekdays mfano saa hizi show inaoneshwa hamies anawachagulia washiriki nyimbo za kuimba wiki hii
 
Nimeangalia ma dia.. Nimeona hamy b akifanya yake,but kejjo anasema hautak wimbo.. And principle kasema auimbe koz hata last week alikataa wimbo aliokuwa amechaguliwa akapic mwingine
 
kura zetu zinahitajika best. wenzetu wa Kenya na ug wanapiga kura hao kama hawana akili nzuri

nimesha piga muda huu. daa inabidi nguvu kubwa hitumike kumuokoa angel maana sijui kama kuna wa kumhokoa bila kura zetu labda kama ataomba vizuri kupita wote
 
yaah kamasio kura zetu labda akiimba vizuri halafu aseviwe na faculty. unless otherwise atakuwa evicted
 
hivi kweli watamuacha fess maana alijitahidi sana, sidhani kama atakubali kurudi nyuma. Only way ya kumuokoa Angel ni kura zetu.
 
tatizo online kupiga kura mwisho mara moja kwa siku. hivyo kila siku ntakuwa napiga kura mara moja.
 
DEMBA on line voting jana ilini sumbua sana nikaona nitumie tuu sms, na kama ni mara moja per day bora ilivyo goma maana mpango wangu ni kumpa kura nyingi na jana nilifanya hivyo na leo nina endelea hili nijaribu kumuokoa.

Mpigieni kura hili aendelee kubaki.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom