Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
- Thread starter
- #221
jamani Bss ndio nini............mi nachokaaaa
imeishaaaaaa
Bss hahaaaa live band hamna kitu uimbaji hapana.. Ukizingatia nimetoka kuangalia tusker
jamani Bss ndio nini............mi nachokaaaa
Teh teh teh... Haya nipe udates! Nambie nani katoka nani yuko probation??
imeisha hivyo. kura yako ni muhimu kwa Angel. tumehamia BSS though imekaa kikomedikomedi
Mi natamani kupasuka kabisa.. mbaaaaayaaa
yaani hii BSS .....................
Dash kweli Taupo nyuma sanaaa had I aibu
salama kasjika shavu tu..ni aibu
Yaani ni oovyooo sana.. viwango duni kabisa
Jennifer kapigwa tena BAN? Yuko probation..... Naona jamaa wamemkamia kweli kweli!!!!!!!!!
Aibu halafu watu wa mataifa mbalimbali wanaangalia. Madam ajipange zaid