Ninachoomba ni kitu kimoja UZALENDO. Wapenzi wa EPL, LA LIGA nk mjitokeze kuwazomea hawa wapopo kwa nguvu moja. Mambo ya kuwasifia na kuwashangilia wachezaji wa timu ya ulaya unayoipenda tuiache japo kwa dakika 90, sio vigumu kufanya hivyo. kama mtu unaweza kwenda masaa 3 bila kunywa maji unaweza kuwazomea kina Gervinho, Yaya na Kolo Toure na kuwashangilia kina Nyoni. TANZANIA ni yetu, TAIFA STARS chama letu. Come on guys!!!!!!
Yaya Toure funga hawa CCM na litimu lao linaloenda kwa nguvu ya soda.......
Sasa ole wako tushinde (Tstar) arafu ujifanye una shangilia. Endelea hivyo hivyo kua mtumwa wa fikra. Baba yako baba yako tu hata akiwa mlevi, na asie wako si wako tu hata akiwa msomi.