Live Updates: Tanzania Vs Ivory Coast – World Cup Qualification 2014, June 16, 2013

Live Updates: Tanzania Vs Ivory Coast – World Cup Qualification 2014, June 16, 2013

Jamani mm niko nje ya nchi hivisasa nina mwezi mmoja TBC siipati. Kwahiyo naomba muni saidie njia gani ni tumie ili niweze kuuona huu mchezo?
 
Hureeeeeeeeeeeeeeeeeee!!! Taiiiiiifaaaaaaaaa! Kimenuka pande za uwanja wa Taifa, taifa stars 1-0 tembo wa porini!
 
Cha kwanza

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
haya ndo matatizo ya mtoto wa kiume kupumuliwa mgongoni, huna ata aibu ya utaifa wako

Huyu ni lazima atakuwa ni mwanachama wa kile chama kinacholipua watu kwenye mikutano yao kwa ajili ya makafara.
 
Back
Top Bottom