Live Updates: Tanzania Vs Ivory Coast – World Cup Qualification 2014, June 16, 2013

Live Updates: Tanzania Vs Ivory Coast – World Cup Qualification 2014, June 16, 2013

izz,nifahamishe vizuri nimkubali chuji

Kukufahamisha haishindi vitendo, tafuta video za Chuji tazama.

Uwe unaenda kuangalia mpira halafu utaelewa tu kidogo kidogo. Ahsante!
 
I love you IVORY COAST...GOD bless you....ELLEPHANTS

Sasa ole wako tushinde (Tstar) arafu ujifanye una shangilia. Endelea hivyo hivyo kua mtumwa wa fikra. Baba yako baba yako tu hata akiwa mlevi, na asie wako si wako tu hata akiwa msomi.
 
Ushindi leo lazima. Tuna wagonga dungu moja kipindi cha kwanza na hakirudi mpaka mpira unaisha. Nanyinyi wanyarwanda munao washabikia hao mabaasha zenu olewenu muingie uwanjani mutanunua majanga.
 
Mlio Dar Mvua haijanyesha? au kamati ya ufundi ipo busy kuisadia ccm kwenye uchaguzi wa madiwani?
 
WAKUU,kwa mara nyingine tena leo Taifa Stars inaingia uwanjani kukabiliana na Tembo wa Ivory Cost,tunahitaji kuishangilia timu yetu ili kushinda mchezo huo,nawaalika wadau wote wa JF Sports tujumuike humu kuleta mpmbanao huo moja kw amoja kutoka uwanja wa Taifa,kwa wale watakaokuwepo uwanjani.

Mimi nitakuwepo,Makoye Matale,Idawa,na wengineo Mtakuwepooooooooooooooooo?!
 
Kama Lulu anaweza kumbeba captain Komba kwanini Stars tushindwe kuwafunga Ivory Coast? hamna lisilowezekana
 
Leo tukitoa draw halaf mechi ijayo tukawafunga gambia je hapo kuna ndoto ?
 
laana ya mauaji yanayofanyika nchini itawatafuna taifa stars
 
hivi siye tuna mbuga na hifadhi za wanyama ngapi? mito na maziwa mangapi? je ni viumbe vingapi viko humo? Jina la timu yetu nalo linaweza kuwa jinamizi kwetu "taifa stars"! Taifa? taifa gani hili la ccm? au taifa la afrika nzima? taifa ni uwakilishi mkubwa sana, angalia mafanikio ya Twiga stars au serengeti boys? hivi hatuwezi japo badiri hata jina tu=tembo wa serous,nyati wa serengeti? simba wa manyara? sangara wa victoria, kiboko wa ruaha?
Mungu ibariki Taifa stars ushindi upo, ila tunakazi tena ya kuiombea moroco iendeleze fitina zake ili iifunge ivory coast, go go taifa stars
 
Ngoja tuote mchana,tukae tukijua Ivory coast kwenye rank za fifa ni no 1 africa ikifuatiwa na ghana

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kama Lulu anaweza kumbeba captain Komba kwanini Stars tushindwe kuwafunga Ivory Coast? hamna lisilowezekana

kkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkk.......hii kweli ni jamii forum burudani mwanzo mwisho,LULU vs KOMBA
 
WAKUU,kwa mara nyingine tena leo Taifa Stars inaingia uwanjani kukabiliana na Tembo wa Ivory Cost,tunahitaji kuishangilia timu yetu ili kushinda mchezo huo,nawaalika wadau wote wa JF Sports tujumuike humu kuleta mpmbanao huo moja kw amoja kutoka uwanja wa Taifa,kwa wale watakaokuwepo uwanjani.

Mimi nitakuwepo,Makoye Matale,Idawa,na wengineo Mtakuwepooooooooooooooooo?!
Kama kawaida mkuu. CC Mandita
 
Sijuwi hii mechi itaonyeshwa kwenye Tv zetu maana kweli niko mbali. Aliyekwisha juwa juu ya hili swala naomba atujuze
 
tiketi za bei ndogo zimekwisha, vijana toka morogoro waliokuja na viingilio vya chini wakitegemea kuona match wanalalamika na kuanza kupigiana simu, too bad, barabara kuu ya kuingia taifa, imefungwa kwa magari makubwa mawili kupunguza Jam ya kuingia uwanjani, watu wameshaaza kufika maeneo ya uwanja milango bado imefungwa, tusubiri mtanange uanze, kila la heri stars, poleni wahanga wa mabomu Arusha.
 
Inafurahisha sana ukisoma humu. Hv humu ktk suala la stars ccm inaingizwaje? Hata moira wetu tunataka kuufanya siasa
 
Back
Top Bottom