Na milaana ya kutupa mabomu kuua watu wasio na hatia tufungwe tu!! Hata mpirani siendi!
Mpira acha uwe mpira pekee. Kazi za siasa na serikali kamwe zisiingizwe kwenye mpira.
Asante sana kaka lakini usikae mbali na vitu kama kahawa au Glucose. Makoye
Asante sana kaka lakini usikae mbali na vitu kama kahawa au Glucose ili kupunguza Presha.. Makoye
Yaya Toure funga hawa CCM na litimu lao linaloenda kwa nguvu ya soda.......
Ni nipo Jukwaa la 5000
I love you IVORY COAST...GOD bless you....ELLEPHANTS