Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,826
Kalou anatoka, anaingia Giovani
Ingekuwa inajipanga hayo matatu yangetokea wapi?Kwa kweli sijawahi kuiona beki ya TS inajipanga kama hii ni safi sana.
Ingekuwa inajipanga hayo matatu yangetokea wapi?
Lazima mlambwe tu. Nia mnayo, sababu mnayo, tatizo uwezo
Tumekoswakoswa la 4
Kila la heri timu ya Taifa. Sababu, nia na Uwezo wa kushinda upo.