Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,825
Jaman mbona tunashambuliwa sana??au me kwakua naskiza redio?
Sofa mechi imebalance...Tunawashambulia nao wanatushambulia...Tuna tatizo kwenye umaliziaji....
Tumewakosa magoli mawili ya wazi na wametukosa...
Safi sana Yondani.......