Live Updates: Tanzania Vs Ivory Coast – World Cup Qualification 2014, June 16, 2013

Live Updates: Tanzania Vs Ivory Coast – World Cup Qualification 2014, June 16, 2013

Jezi zao za magamba na litimu lao la MAGAMBA...YAYA TOURE funga hao K.I.M.A tena WAUAJI magaidi......IVOR COAST 10-2 MAGAMBA..

We vp una Mimba? Kama una nyege tafuta dume likusugue! Unaongea ka malaya! Unatukera bwana kama huwezi ushabiki achana na mpira haukufai!
 
kwanini Taifa stars hawaandiki majina kwenye jezi?
 
Taifa Stars lazima ifanye mchezo huu kuwa wa dog eat dog situation, ni kufa na kupona.

Come on Taifa Stars tunataka kwena Brazil.
 
Leo Nyoni nimeshuhudia akiwa ni sababu ya magoli mawili. 1. La kwanza mabek wa starz walicheza offside trick ila yy alibaki na ndo likawa goli. 2. Alimsindikiza gervinho toka mbaaaali alipofika ndani ya 18 huku akijua lolote litakalofanyika inaweza kuwa penalt, na yy akamsukuma...ila ndo mpira, bila na kukosea hutajua mpira
 
Bado tuna tatizo kwenye kiungo,kimepwaya kiaina.....Tunahitaji mchezaji aina ya Chuji...

Kona kuelekea lango la Stars....Solly Bamba anapaisha...Free Header

Kelvin Yondan kaumia....anasimama
 
Tunashambuliwa...Kocha toa Nyoni......Kona.....

Amezubaa sana huyu Erasto Nyoni
 
TS inaonekana inatumia mtindo wa ama 4-3-2-1 au 4-5-1.

Mitindo hii si mizuri kwani inampa nafasi Gervinho kutawala sehemu za pembeni na vijana wetu wanapoteza sana mipira.

Hali hii inaweza kufanya IV kufunga magoli zaidi.
 
Dah....Kiemba is the best.....Anawachambua CIV anavyotaka...Tunashambulia sasa......Nyoniiiiiiii.................Kiemba anapaisha....Free header
 
kwanini Taifa stars hawaandiki majina kwenye jezi?
 
Kaseja ni kipa makini na ni mabeki wake ndio watakaomwangusha.
 
kiukweli nmelivumilia kulisema hili nmeshindwa....kiukweli kwenye goli la stars kuna goal picture
 
Back
Top Bottom