Live Updates: Tanzania Vs Ivory Coast – World Cup Qualification 2014, June 16, 2013

Live Updates: Tanzania Vs Ivory Coast – World Cup Qualification 2014, June 16, 2013

dk 45 za kwanza zimemalizika ,tumwombe mola kipindi cha pili ......viva tz
 
kwanini penalti, ni ya hakika au dhuluma?

Ni kama hamsini kwa hamsini angeweza kuamua vyovyote kwa sababu Gervinho mwenyewe alikuwa ni pembeni sana hakuwa akiface lango moja kwa moja, lakini ni kweli Nyoni alisukuma ingawa it was a slight push.
 
Jezi zao za magamba na litimu lao la MAGAMBA...YAYA TOURE funga hao K.I.M.A tena WAUAJI magaidi......IVOR COAST 10-2 MAGAMBA..
 
kwa afrika basi refa anatoa penati

Mkuu ile penati inakera sana. Anyway, alichoamua Mungu mwanadamu hawezi kukibadilisha. Vijana waendelee kukomaa tusifungwe tena huku Samatta na Ulimwengu wakifunga bao na kufanya matokeo Tanzania 4-3 Ivory Coast.
 
Unaweza kukuta unatokea arusha umekuwa addict wa siasa, msalimie lema!
 
Back
Top Bottom