live updates;RUVU SHOOTING VS YANGA SC

live updates;RUVU SHOOTING VS YANGA SC

Hizi timu za majeshi zipunguzwe idadi ktk ligi kuu. Sioni umuhimu wa kua natimu nyingi ambazo kazi yao kubwa ni kugawa points kama bar made
 
Hizi timu za majeshi zipunguzwe idadi ktk ligi kuu. Sioni umuhimu wa kua natimu nyingi ambazo kazi yao kubwa ni kugawa points kama bar made
haya maneno yako mbna zikicheza na azam huyasemagi?
 
Kocha wa Simba yupo hapa uwanjani:

Kumbuka kesho ni SIMBA na JKT Ruvu.
 
Nasikia kocha wa Ruvu shooting amebwaga manyanga hapo hapo taifa???ebu mlioko taifa tupeni ukweli wa hili.
 
Bahati mbaya ya Ruvu ni mechi yao kupangwa karibu na match ya Waarabu wkt watu wanajiandaa kuweka historia...madhara yake ndo haya ss
 
Back
Top Bottom