live updates;RUVU SHOOTING VS YANGA SC

live updates;RUVU SHOOTING VS YANGA SC

Mpira umekwisha.



Ruvu shooting 0-7 yanga sc
 
Ningekuwa uwanjani leo nadhani ingekuwa siku ya kwanza kushabikia japo goli moja la Yanga, maana leo mmevunja rekodi ambayo ilikuwa inashikiliwa na Simba na Prison kwa ushindi wa goli 6 bila, nawatakia kila la heri jmosi ijayo wanayanga wote ili japo mpate ushindi wa nyumbani dhidi ya hao waarabu.
 
haya tukutane tena kesho!tushuhudie mkia akikamliwa!
 
FULL TIME

Ruvu shooting 0-7 yanga sc

Shukrani kwa updates mkuu...haya magoli ni msaada sana mwisho wa ligi endapo kutatoke kulingana kwa points baina ya vinara wa ligi na Yanga.
 
Sasa Yanga wako kwenye maandalizi ya Waarabu hlf hawa TFF wanawapangia ratiba ya Ruvu...walitegemea nn sasa?

Hahahahahahahaha!JF ni nouma lol!
Mkuu naona break za fiati leo zimegeuka za baiskeli.
Cc Masau Bwire
 
Last edited by a moderator:
maskini record ya prison haikudumu hata kwa wiki moja!!
Leo nasikiliza vipindi vyote vya michezo kuanzia Uhuru Fm, Radio One, TBC Taifa, Magic FM, RFA, Clouds, Capital FM na radio nyingine yoyote nitakayoibahatisha, lengo ni kumsikia Masau Bwire anasemaje kuhusiana na hiki kipigo cha mbwa mwizi.
 
na hii record yetu hadi ije ivunjwe...ni hapo simba itakapoitwa msimbazi utd!
Mkuu usiseme hivyo, ligi yetu ina timu kama homa ya vipindi, utashangaa hata ndani ya wiki moja tu timu nyingine inapigwa nane.
 
Leo nasikiliza vipindi vyote vya michezo kuanzia Uhuru Fm, Radio One, TBC Taifa, Magic FM, RFA, Clouds, Capital FM na radio nyingine yoyote nitakayoibahatisha, lengo ni kumsikia Masau Bwire anasemaje kuhusiana na hiki kipigo cha mbwa mwizi.
Na usisite kutuhabarsha hapa mkuu..mana achelewi kusema alijua tu timu yake itapigwa hiki kipigo.
 
Hongereni sana wana Yanga wenzangu....

Yanga: Daima mbele, nyuma mwiko...
 
Back
Top Bottom