CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 950
Goooooooooo 7!
Yani wamepigwa wiki lol!
Tanga:Coastal union1-0Mbeya City.
Yani wamepigwa wiki lol!
Tanga:Coastal union1-0Mbeya City.
we unaangalia mechi gani!!Hahaaaa la 72
Kutaka kuwagea watu la kusema tu. Leo mpaka bubu atazungumza.
Hizi timu za majeshi zipunguzwe idadi ktk ligi kuu. Sioni umuhimu wa kua natimu nyingi ambazo kazi yao kubwa ni kugawa points kama bar made
mcc ndo wameanza kutepeta!!!Goooooooooo 7!
Yani wamepigwa wiki lol!
Tanga:Coastal union1-0Mbeya City.
basketball hiyo mkuu.we unaangalia mechi gani!!
Mkuu, kila siku nimekua nikilipigia kelele jambo hili sio leo tu. Kwanza we huoni imekaa kinyume mmiliki mmoja kua na timu zaidi ya nne kwenye ligi moja? Hawa jamaa wanatakiwa waunganishe timu zao zote ili iwe moja tu, sio kila kambi iwe na timu yake.haya maneno yako mbna zikicheza na azam huyasemagi?
Hivi nyie ndege mtapanda mwaka gani?
Hivi nyie ndege mtapanda mwaka gani?
na inavyosemekana azam kainunua moro utd, itakuaje hapo?Mkuu, kila siku nimekua nikilipigia kelele jambo hili sio leo tu. Kwanza we huoni imekaa kinyume mmiliki mmoja kua na timu zaidi ya nne kwenye ligi moja? Hawa jamaa wanatakiwa waunganishe timu zao zote ili iwe moja tu, sio kila kambi iwe na timu yake.
te te te!!kwani mshindi wa tano naye huwa anashiriki mashindano ya kimataifa!Msimu ujao
ok!niliogopa nikajua unaangalia mechi nyingine!Hiyo 2 typing error