Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
Duh mtu kapigwa wiki.hatari sana.
nimemsikia mkuu, yan jamaa anaongea ili mradi kaongea tu.Masau Bwire anasema Yanga wamefumania na kubahatisha ndo maana wameshinda, anasema walikuwa wanapiga mipira mirefu halafu watu wanaanza kukimbizana kama nguruwe na wao Ruvu Shooting hawajazoea kukimbizana. wao wamezoea kuweka mpira chini na kupiga pasi za one two.
Masau Bwire anasema Yanga wamefumania na kubahatisha ndo maana wameshinda, anasema walikuwa wanapiga mipira mirefu halafu watu wanaanza kukimbizana kama nguruwe na wao Ruvu Shooting hawajazoea kukimbizana. wao wamezoea kuweka mpira chini na kupiga pasi za one two.
walitegemea ushindani na pia washukuru ruvu hawajawaumizia wachezaji mnaweza kukomaa na waarabu..Sasa Yanga wako kwenye maandalizi ya Waarabu hlf hawa TFF wanawapangia ratiba ya Ruvu...walitegemea nn sasa?