ACCOUNT FULL
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 1,995
- 389
- Thread starter
- #201
dk 85, ruvu 0, yanga 7
mcc ndo wameanza kutepeta!!!
Msimu ujao
te te te!!kwani mshindi wa tano naye huwa anashiriki mashindano ya kimataifa!
ulikuwa ni mpira wa kurushwa...uliomkuta msuva ndani ya boksi..akapiga shuti kuelekea kwenye angle ya nyuzi 90 kuiandikia dar young africans goli la 7!
ahaahhaaaa...malizia mkuu.
Safi sana mkuu ningelishangaa sana mabingwa wayanzania,Afrika Mashariki na kati wakose updates nadani ya Jf!?
WABHEJASANA mwanawane!!!
amerejea!!naona alienda kumwagia maji!!thom kalikimbia bench!!
ni kweli ukisemacho mkuu!halafu walianza kuongea sana!Mtoto halali na pesa kaka!
Yake 'mavi na nepi'
MCC ni watoto wa jana tu.
ha ha ha ha ha ha!hapo hata ndege hawapandi!!jahazi linawatosha!Eenh c yale yanayohusisha Tanzania Bara na Vicwani na team 1 Mwalikwa (Mapinduzi Cup)
baada ya neno angle, weka "," umeelewa??Mmmh nyuzi 90 katikati ya goli!!?