Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,084
- 12,329
dk 7, yanga 2, ruvu 0
Mpira gani huo, dakika ya 7 tayari mtu kesha kunywa mbili? Huu utakua ule mchezo waakina mama (lede)
dk 7, yanga 2, ruvu 0
ukikutana na fundi, ni kawaida tu, au umesau bayern alifnywa nn na man u uefa kipindi hicho?Mpira gani huo, dakika ya 7 tayari mtu kesha kunywa mbili? Huu utakua ule mchezo waakina mama (lede)
Ruvu shooting 0-5 yanga sc
na kutujuza tutakao kuwa mbali kama wewe!
Mpira gani huo, dakika ya 7 tayari mtu kesha kunywa mbili? Huu utakua ule mchezo waakina mama (lede)
tano, Kavumbagu
ahaahhaaaa...malizia mkuu.Ndio maana....
Ruvu shooting 0-5 yanga sc
usinimalize mbavu, wazee wa ushindi wa droo na droo ya kufungwa magoli chini ya mawili
Nani kakuongopea Yanga wanajua? Sema mumewakamatia wehu munawabuluza munavyo taka. Ili kuonyesha Yanga anajua tungoje Waarabu waje hapa.ukikutana na fundi, ni kawaida tu, au umesau bayern alifnywa nn na man u uefa kipindi hicho?