live updates;RUVU SHOOTING VS YANGA SC

live updates;RUVU SHOOTING VS YANGA SC

uuuuuuuuuuuuuwii yelewiiiiiiiiii!yanga 6!!!!! kama comorozine!!
 
kazi kubwa iliyofanywa na msuva, kuruka makwanja ya mabeki, na kutoa pasi murua kabisa kwa kiiza...
 
Sasa huyo Mzungu c apumzishe majembe ya Al Ahly..angewaingiza akina Mguhi sasa
 
...lilikuwa goli la saba' Okwi kaunawa!
 
Back
Top Bottom