ACCOUNT FULL
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 1,995
- 389
- Thread starter
- #81
pamoja mkuu.Leo nipo mbali sana nategemea updates za hapa JF... Shukrani sana mkuu ACCOUNT FULL
Last edited by a moderator:
pamoja mkuu.Leo nipo mbali sana nategemea updates za hapa JF... Shukrani sana mkuu ACCOUNT FULL
na kutujuza tutakao kuwa mbali kama wewe!Siku hiyo nitakuwepo uwanjani kuipa support timu yetu...
kuna huyo, na yule wa mtibwa, daaa!, jamaa anaongea hadi kero!
Ilikuwa ni pasi mkuu, pasi kama hizo yanga ni kawaida tu, kwa kuwa kuna mafundi wa kuzipiga, hapo chuji yupo nje.Ilikuwa ni pasi au Mbuyu alikuwa anaanua hatari kwa mpira mrefu? Wazee wa pasi ndefu na kubutua!
waweza kujaribu hapa pia Listen Live .:uHURUFm:. – Tanzania's Premier Online Radio - ila ni radio ya chama fulani hivi!!!
ndio huyo mkuu, yan hao utakuta hata kambini hawapo na timu, lakin wakianza kuongea...au labda mbali ya kuwa wasemaji wa timu, labda ni watu wa "saikolojia" kwa timu.Wana midomo michafu sana hao. Wa Manungu Turiani anaitwa Thobias Kifaru!
...Jumamosi ni kivumbi
YANGA vs AL AHLY
ndio huyo mkuu, yan hao utakuta hata kambini hawapo na timu, lakin wakianza kuongea...au labda mbali ya kuwa wasemaji wa timu, labda ni watu wa "saikolojia" kwa timu.
Hahahahahaha!
Wafungaji mkuu tafadhali sana!!