hivi nani kocha wa ruvu shootingdk 30, yanga 3, ruvu 0.
goooool! la 2, msuva!
mkenya, tom olaba, kama sikosei mkuu.hivi nani kocha wa ruvu shooting
Yangaaa saaafi sana piga hao wabeba mitutu
ahhaaahaaa....Masau Bwire alikuwa anapiga ramli.
ni dk 31
RUVU SHOOTING 0-4 YANGA SC
mi nikajua minziromkenya, tom olaba, kama sikosei mkuu.
Tatizo Masau Bwire anaongea sana, anashindwa kujua kama mpira ni uwanjani na ni dakika 90.
wazee wa vitu vyenye ncha kali!
Ilikuwa ni pasi au Mbuyu alikuwa anaanua hatari kwa mpira mrefu? Wazee wa pasi ndefu na kubutua!pasi ndefu kabisa kutoka kwa mbuyu twite, inamkuta ngasa na kutupia goli la 4!