na bado!!Gooooo
mpira ulianzia kwa oscar akampigia msuva, msuva akapiga krosi tamuu kabisa kwa kavumbagu..
ni kweli tumechokaaaaa na wapigwe...Wapigwe tuuuuuuuu
wakishinda wao sawa.Hawa simba utasikia Ruvu wameuza mechi.
:flypig::flypig::flypig::flypig::flypig::flypig:dk 57, ruvu 0, yanga 5.
hawa simba utasikia ruvu wameuza mechi.