live updates;RUVU SHOOTING VS YANGA SC

live updates;RUVU SHOOTING VS YANGA SC

yanga
1.dida
2.mbuyu
3.oscar
4.nadiri
5.yondani
6.domayo
7.msuva
8.ngassa
9.kavumbagu
10.okwi
11.kiiza
hiki ni kikosi cha kuwapoteza maboya waarabu!
mmmh huyu okwi asije kuleta shida baadaye timu ikapoteza point!
 
mmmh huyu okwi asije kuleta shida baadaye timu ikapoteza point!
ndio anacheza tena, nadhan viongozi walijiridhisha kwa hilo..na hii mechi naona ameipania sna kumaliza ukame wa kutocheza mda mrefu..offside kwa ruvu.
 
dk 20, yanga 2, ruvu 0, refa anapeta, kavumbagu aliwekwa chini ndani ya boksi.
 
yanga
1.dida
2.mbuyu
3.oscar
4.nadiri
5.yondani
6.domayo
7.msuva
8.ngassa
9.kavumbagu
10.okwi
11.kiiza
hiki ni kikosi cha kuwapoteza maboya waarabu!
Subs:
1. Juma Kaseja - 1
2. Juma Abdul - 12
3. David Luhende - 3
4. Rajab Zahir - 14
5. Athuman Idd - 24
6. Hassan Dilunga - 26
7. Said Bahanuzi - 11
 
kavumbagu anakosa goli hapa...ilikuwa pasi murua kabisa kutoka kwa ngassa
 
Tatizo Masau Bwire anaongea sana, anashindwa kujua kama mpira ni uwanjani na ni dakika 90.
 
Okwi



RUVU SHOOTING 0-3 YANGA SC
 
pasi murua kutoka kwa ngassa, emmanueli okwi anaanza kumfukuzia tambwe!
 
Back
Top Bottom