mi nikajua minziro
Ilikuwa ni pasi au Mbuyu alikuwa anaanua hatari kwa mpira mrefu? Wazee wa pasi ndefu na kubutua!
...Jumamosi ni kivumbi
YANGA vs AL AHLY
kuna huyo, na yule wa mtibwa, daaa!, jamaa anaongea hadi kero!Tatizo Masau Bwire anaongea sana, anashindwa kujua kama mpira ni uwanjani na ni dakika 90.
Tutapigwa kama tumesimama!...Jumamosi ni kivumbi
YANGA vs AL AHLY