yahoo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 3,526
- 1,410
Litarudi hilo labda wawe wamewahonga
Anslem, ulipotelea wapi ww,tulikumiss sana jamvini..welcom back
Litarudi hilo labda wawe wamewahonga
HT: Polisi 0-1 Simba.
Leo mnyama anonekana ku-survive, hatujui kipindi cha pili kitatokea nini. Kila la heri Polisi Morogoro.
Polisi Moro 0-2 Simba.
Anslem, ulipotelea wapi ww,tulikumiss sana jamvini..welcom back
Akh,nikalale zangu mimi
Nipo Kaka,nipo sn...naona Mikia leo c utani
Simba wanapata bao la pili
Hawa Wazee wa fitina Hans Pop na Nyange Kaburu watakuwa wameshacheza mchezo mchafu kule Morogoro,cyo bure
Kawaida yetu kushinda acheni majungu yeboyebo
Jamani tuweni waungwana, hivi timu yetu ni mbovu kiasi hicho? acheni mambo yenu bana ya kuona wachezaji wazuri wako kwenu, na mngekuwa na timu yenye vipaji vingi na bora kama Azam sijui ingekuwaje.