Live Updates: Polisi Moro vs Simba

Live Updates: Polisi Moro vs Simba

Hapa Jamhuri stadium Ni dakika 6 bao Ni bila bila
 
Updates zitakuwepo kutoka kote kote Wakuu. Azam FC wameonesha uanamichezo wa hali ya juu, sina sababu ya kuizomea Azam FC kwa leo. Kila la heri Azam FC.

Kwa upande wa pili, mashabiki ya mikia yameshindwa kabisa kubadilika. Naitakia Simba kila la shari katika mechi yao ya leo na Polisi Morogoro.

Sawa kabisa mkuu Matale, Adui muombee njaa. Ikiwezekana washuke daraja kabisa.
 
Dakika ya 15, murshid mganda huyu jezi namba 23 anaipatia Simba goli la kwanza
 
Kuanzia mwaka huu na kuendelea, mashindano ya kimataifa yatawakilishwa na klabu mbili tu(Dar Young Afrivans & Azam fc). Ndugu zetu mbumbumbu fc mtaendelea kuchoma mahindi.
 
Simba ina viongozi wa ajabu sana,walimtoa Tambwe sijui kwa sababu zipi then wanamwacha Maguri pale...sioni uwezo wowote wa maguli zaidi ya kukimbia kimbia na hizo nguvu wanazosema sijui zipo wapi....simba haina viungo wazuri na haina washambuliaji wazuri zaidi ya Okwi nani mwingine....katikati akiumia Mkude na kidogo midfielder mmoja jina limenitoka Simba haina lolote...hakuna kulaumu kuhusu sare tunazopata bali hakuna usajili pale..wanakera na wanaboa.kombe lina miaka na miaka haligusi msimbazi

Maguli amesha athirika na kile kitendo alichofanyiwa na mchezaji wa Mbeya City.

Tusianze kumtupia majungu.!

Nyie mlichokosea ni kumwacha tabwe na kuchukua okwi, ili muwakomoe yanga.
 
Maguli amesha athirika na kile kitendo alichofanyiwa na mchezaji wa Mbeya City.

Tusianze kumtupia majungu.!

Nyie mlichokosea ni kumwacha tabwe na kuchukua okwi, ili muwakomoe yanga.

Kaangalie Takwimu zako vizuri, Okwi na Tambwe wote wamewahi kucheza Simba pamoja.
 
Back
Top Bottom