Live Updates: Polisi Moro vs Simba

Live Updates: Polisi Moro vs Simba

I miss moro jamani duh mzabzab upo wapi nowadays? ??
 
Last edited by a moderator:
Masuke, achana nao hao jamaa. Kama wanaamini SSC ni mbovu sasa kwann wanakuwa na wasiwasi na sisi? Tukishinda mechi moja tu hofu zinaanza.

Waulize kwa miaka miwili wamechukua kombe gani la maana zaidi ya kuongoza ligi kwa saa kadhaa wiki iliyopita.
 
Wanawake wenye adabu Bantu lady, nifah na wenzao wamelala mapema wakiwaacha wanaume wa shoka wakigonganisha glasi za Champagne.
 
Last edited by a moderator:
So what are you trying to insinuate? Kwa hiyo wachezaji wetu mechi zote walizokuwa wanacheza ovyo nao walihongwa?

Huko unaenda mbali mkuu, muulize miaka yote hiyo Yanga inayofungwa na Simba kuwa inahongwa?
 
Rn
Timu
P
W
D
L
F
A
Gd
Pts
1
Azam FC
13
7
4
2
22
12
10
25
2
YANGA
13
7
4
2
15
7
8
25
3
SIMBA SC
14
4
8
2
15
11
4
20
4
MTIBWA SUGAR
14
4
7
3
15
14
1
19
5
Coastal Union
15
4
7
4
10
9
1
19
6
JKT RUVU
14
5
4
5
14
14
19
7
RUVU SHOOTING
14
5
4
5
10
10
19
8
POLISI MORO
15
4
7
4
12
13
-1
19
9
KAGERA SUGAR
14
4
6
4
11
11
18
10
MBEYA CITY
14
4
5
5
9
9
17
11
NDANDA FC
15
4
4
7
12
18
-6
16
12
STAND UNITED
15
3
6
6
13
18
-5
15
13
MGAMBO SHOOTING
13
4
2
7
7
15
-8
14
14
T. PRISONS
13
1
8
4
10
12
-2
11

Kagera Sugar jana kapiga mtu huko CCM Kambarage - Shinyanga, ana pointi 21 hivyo Simba hawezi kuwa nafasi ya 3.
 
Kagera Sugar jana kapiga mtu huko CCM Kambarage - Shinyanga, ana pointi 21 hivyo Simba hawezi kuwa nafasi ya 3.
Kagera hatuna haja naye tuna haja na mwali wetu mtamu, kwanza Kagera amecheza mechi moja zaidi...
 
Kagera hatuna haja naye tuna haja na mwali wetu mtamu, kwanza Kagera amecheza mechi moja zaidi...

Watu wa simba bwana kwa kujipa yasiyo ya kwao wanaweza, sasa hapo anaepaswa kumuita mwali wake ni nani kati ya simba na yanga. Ninyi simba mtabaki kuwa kama liverpool tu na historia kombe linaenda Jangwani.
 
Unajifanya humjui Mwali wa Simba ni nani eeehh? Subiri siku inakuja utamuona haiko mbali..
 
Wameshinda sana sare ya 3-3, hahaaaaaaaaaaa.....

Data za kwenye vijewe vya kahawa hizi........Ukute huyu ndo anategemewa pale simba kwa ufahamu wa mambo ya soka. Ama kweli mambumbumbu noma.
 
Yanga wanajua ya kuwa popote walipo simba huzun na simanzi hutawala kwao, unabisha muulize maximo
TFF wajanja sana, kuweka mechi ya Yanga na Simba mwishoni mwa mzunguko wanajua watawavuruga Yanga kisaikolojia na mwisho wanaweza kufungwa mechi zote zinazofuatia maana hawa jamaa zetu baada ya kufungwa na Simba wanachanganyikiwa na hawakawii kufukuza kuanzia kocha, wasaidizi wake wote, dokta wa timu mpaka msemaji wa timu.
 
Data za kwenye vijewe vya kahawa hizi........Ukute huyu ndo anategemewa pale simba kwa ufahamu wa mambo ya soka. Ama kweli mambumbumbu noma.
Wewe unayefahamu lete za kwako za kweli. Siku ile mnaongoza 3-0 mpaka HT Gabachori lenu halikuzunguka uwanja kwa furaha likionyesha vidole Sita? Lilikuwa linashangilia nini kama si sare ya 3-3?
 
Bora yanga afungwe na stand united kuliko kufungwa na simba chakushangaza sasa sikumbuki mara ya mwisho walipata raha hio lini. Itakuwa zaman eh😕😀
 
Back
Top Bottom