Live Updates: Polisi Moro vs Simba

Live Updates: Polisi Moro vs Simba

Bora yanga afungwe na stand united kuliko kufungwa na simba chakushangaza sasa sikumbuki mara ya mwisho walipata raha hio lini. Itakuwa zaman eh😕😀
Kwa miaka takribani 5 nyongo ya kufungwa na Simba imejaa miilini mwao pa kuitolea hakuna sasa wamebakia kualika vitimu vya daraja la kwanza sijui Mwadui, Toto kuja kuifunga Simba, wako mbona wameshindwa. Pumbavu.......
Huyo Mwadui mwenyewe alikuja DSM juzi juzi hapa akaomba mechi ya kirafiki akaaumbulia kipigo cha bao 4.
 
Data za kwenye vijewe vya kahawa hizi........Ukute huyu ndo anategemewa pale simba kwa ufahamu wa mambo ya soka. Ama kweli mambumbumbu noma.

Hahahahaaaa umeona eeh?Simba maneno kibaaaooo....
 
Yanga hata wafurahi mechi zote, ikifika ya Simba hali huwa hivi:

attachment.php

Hahahahaaaa umeona eeh?Simba maneno kibaaaooo....
Kama ya kuongea yapo tufanyeje? Wakati Simba wanawahi kiwanja cha Maana Mjini yanga wakatupwa bonde la Jangwani kwa kuwa wanafahamika kwa uvuvi wa Kambale...
 
wazee wa kufungwa tu hawa hawana lolote wanajua ligi kuu ni yanga tu wa kumloga
 
simwoni Komeo Lachuma na demu wake Bantu lady maana hawa wanajidai wana mapenzi makubwa mahaba niue,mahaba niunguze,mahaba mahaba nitese, mahaba nikate shingo. bantu lady na wenzie simba ikishinda wanakosa pozi kabisa hawajui haya kwa simba ni mazoezi tu siku za huko mbele itakuwa boooonge la timu.
 
Last edited by a moderator:
karibu tunapoteza tena watu humu kilingeni
 
simwoni Komeo Lachuma na demu wake Bantu lady maana hawa wanajidai wana mapenzi makubwa mahaba niue,mahaba niunguze,mahaba mahaba nitese, mahaba nikate shingo. bantu lady na wenzie simba ikishinda wanakosa pozi kabisa hawajui haya kwa simba ni mazoezi tu siku za huko mbele itakuwa boooonge la timu.
kipindi cha kwanza mechi ya Prison utawakuta wamejazana humu
 
Back
Top Bottom