demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,309
- 15,288
Dakika ya 4: Polisi 0-0 Simba.
Ndugu, kituo gani cha radio kinarusha Mechi ya simba.
Dakika ya 4: Polisi 0-0 Simba.
Kaangalie Takwimu zako vizuri, Okwi na Tambwe wote wamewahi kucheza Simba pamoja.
Dakika ya 15, murshid mganda huyu jezi namba 23 anaipatia Simba goli la kwanza
Dakika ya 21: Polisi 0-1 Simba.
Ndugu, kituo gani cha radio kinarusha Mechi ya simba.
Mpira wa azam Saa ngapi?
Takwimu zinasema Tambwe aliachwa ili kumpisha Simon Sserunkuma.
Takwimu .. ina maana stats? za magoli waliyofunga? assists?
Na kama unataka?Polisi 2 simba 1hutaki acha
Na kama unataka?