Live Updates: Polisi Moro vs Simba

Live Updates: Polisi Moro vs Simba

RnTimuPWDLFAGdPts
1Azam FC1374222121025
2YANGA13742157825
3SIMBA SC
144821511420
4MTIBWA SUGAR144731514119
5Coastal Union15474109119
6JKT RUVU145451414019
7RUVU SHOOTING145451010019
8POLISI MORO154741213-119
9KAGERA SUGAR144641111018
10MBEYA CITY1445599017
11NDANDA FC154471218-616
12STAND UNITED153661318-515
13MGAMBO SHOOTING13427715-814
14T. PRISONS131841012-211
 
RnTimuPWDLFAGdPts
1Azam FC1374222121025
2YANGA13742157825
3SIMBA SC
144821511420
4MTIBWA SUGAR144731514119
5Coastal Union15474109119
6JKT RUVU145451414019
7RUVU SHOOTING145451010019
8POLISI MORO154741213-119
9KAGERA SUGAR144641111018
10MBEYA CITY1445599017
11NDANDA FC154471218-616
12STAND UNITED153661318-515
13MGAMBO SHOOTING13427715-814
14T. PRISONS131841012-211

apo chacha teh! NdaLa Mda si mrefu anapumuliwa kisogoni
 
Wanaume wa kweli tunashiriki makombe ya Afrika(YOUNG AFRICAN,AZAM) pole simba kwa kugombea kombe la kuku
 
Unachekelea nafasi badala ya kutazama idadi ya mechi na points???!!!!
Kuna ajabu gani hapo? Idadi ya mechi na points ndiyo inayodetermine nafasi! Unajivunia ulicho nacho, sio unachotegemea. Au unajifanya hujui kwamba kama Yanga ana mchezo mmoja zaidi mkononi, na huo mchezo uwe dhidi ya Simba, unadhani atajivunia idadi ya mechi alizocheza hapo?
 
Unachekelea nafasi badala ya kutazama idadi ya mechi na points???!!!!

teh! Povu la nini we subiri mwisho wa ligi nani atabeba ndoo points ni namba tu kama namba nyingne
 
RnTimuPWDLFAGdPts
1Azam FC1374222121025
2YANGA13742157825
3SIMBA SC
144821511420
4MTIBWA SUGAR144731514119
5Coastal Union15474109119
6JKT RUVU145451414019
7RUVU SHOOTING145451010019
8POLISI MORO154741213-119
9KAGERA SUGAR144641111018
10MBEYA CITY1445599017
11NDANDA FC154471218-616
12STAND UNITED153661318-515
13MGAMBO SHOOTING13427715-814
14T. PRISONS131841012-211

Hapo ukiongeza na point 3 za Yanga gap linakuwa point 2. ndo maana povu linawatoka wanajua kinachofuata.
 
RnTimuPWDLFAGdPts
1Azam FC1374222121025
2YANGA13742157825
3SIMBA SC144821511420
4MTIBWA SUGAR144731514119
5Coastal Union15474109119
6JKT RUVU145451414019
7RUVU SHOOTING145451010019
8POLISI MORO154741213-119
9KAGERA SUGAR144641111018
10MBEYA CITY1445599017
11NDANDA FC154471218-616
12STAND UNITED153661318-515
13MGAMBO SHOOTING13427715-814
14T. PRISONS131841012-211
Hapo ukiongeza na point 3 za Yanga gap linakuwa point 2. ndo maana povu linawatoka wanajua kinachofuata.

cc: Makoye Matale, Anselm
 
Hapo ukiongeza na point 3 za Yanga gap linakuwa point 2. ndo maana povu linawatoka wanajua kinachofuata.

Mbona wenyewe wanalijua hilo sema huku nje wanajikaza misuli ya midomo tu.
 
Kuna ajabu gani hapo? Idadi ya mechi na points ndiyo inayodetermine nafasi! Unajivunia ulicho nacho, sio unachotegemea. Au unajifanya hujui kwamba kama Yanga ana mchezo mmoja zaidi mkononi, na huo mchezo uwe dhidi ya Simba, unadhani atajivunia idadi ya mechi alizocheza hapo?

Hahahahaaaaaaa...swali hilo gumu kwake
 
Wanaume wa kweli tunashiriki makombe ya Afrika(YOUNG AFRICAN,AZAM) pole simba kwa kugombea kombe la kuku

Umesema vyema, kumbe unashiriki na sio kushindana.
Afterall kombe lenye akili ni lile analocheza Azam sio la maloser kama BDF XI wasiofahamika hata vidudu ya soka duniani.
 
Unachekelea nafasi badala ya kutazama idadi ya mechi na points???!!!!

Angalia sasa unavyowakashifu Yeboyebo wenzako mwenyewe. Juzi tu baada ya kukaimishwa kiti cha uongozi na Azam mlichonga sana humu kwamba ndio mmekalia na hamtoki. Je hamkuangalia idadi ya mechi?
 
Back
Top Bottom