Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

Diamond kwenye account yake ya insta amemuumbua mchawi wake jokate... Hahaha

Haha ndo wale wanakubali kiaina. Kiba ajui tu anachezewa akili tu na Kidoti lol.. ngoma ya Diamond inapopigwa sehem usipocheza au kutingisha kichwa unakasoro kwakweli.
 
yaah diamond nooooma pia inasemekana ndiyo msanii mwenye DOMO KUBWA KULIKO WOTE AFRIKA kijana yupo juu anazidi kung'ara kili alipataga tuzo 7 akaja akapata 2 na outside alianza na 3 now 1 ni mafanikio pia kutoka nyingi kuja chache....congra dimondd keep it up ila Kiba humuwez hahahahahaaa kiba juu aka mia.

Uchawi tu hapa! Unajua p square mara ya mwisho walipata tuzo lini? Huna unalolijua afu unajichetua.

Uje na Id yako ya siku zote.
 
Hahahahahshshshshshshhhhhj

KUTIKA KWA KING LE MUTUZ
Kinachotokea ni Le mafurikoz hahahsha haters wote gademu kufwa tu mazafantaz

Hahaha leBig show anaumwa lkn ajashindwa kumpost Raisi. Amna raha kama kushinda jaman. Yani tuzo za mtv zimetolewa no malalamiko yoyote sio kama hiz zetu za mlima
 
Hongera zake Diamond na familia yake. Na sisi mmoja mmoja tuongeze bidii kufikia mafanikio yetu binafsi. Ni hayo tu.

LE MAFURIKOZ HAHAHA

Mtajuta na badoo...

Mkuu unajitia upofu kivipi??? that's for Tanzania hukumsikia Raisi wako alichosema bungeni hahaha
 
Mimi nko salendar toka 11 alfajiri nimeingia gharama y kununua condms plus mafuta y cherehani sioni mtu.....mwenye taarifa anapitia njia gani atujuze mapema

Hahahaaa mbavu zangu mieeeeeeeeee😂😂😂😂😂 na mafuta ya cherehani kazi yale nini?
 
Uchawi tu hapa! Unajua p square mara ya mwisho walipata tuzo lini? Huna unalolijua afu unajichetua.

Uje na Id yako ya siku zote.

Achana na akili ndogo hao kala magimbi yake anakuja kuandika uhar 0 hapa. Diamond ndio tuzo yake yakwanza ya MTv na nadhani ndio tuzo yakwanza ya mtv Tanzania correct me if am wrong.
 
LE MAFURIKOZ HAHAHA

Mtajuta na badoo...

Mkuu unajitia upofu kivipi??? that's for Tanzania hukumsikia Raisi wako alichosema bungeni hahaha

Kwa upeo wako wewe, labda mwenzangu ulipata mgao wa Idrisa kutoka BBA.

Am too old for this, akili yangu imejikita kwenye siasa za nchi kwa sasa.
 
Top stars
 

Attachments

  • 1437299789176.jpg
    1437299789176.jpg
    17.7 KB · Views: 125
Na tshirt tushachapisha mpaka madera watu woyooooooo.....tutambeba juu juu!!

Hahahaaa na madera zetu tunafunga na mikanda (In Zari's voice) anakwambia vaeni madera zenu mfunge na mikanda hahhaha
 
Back
Top Bottom