kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,286
- 5,274
We jamaaa tunaenda saa ngap vile....
Ngojea jamaa akitoa tamko
We jamaaa tunaenda saa ngap vile....
viandazi vya bakhresa na kasoseji ha ha ha
Woyooooooo! umepata shoga tena size yako
Asanteeeee.......!!! Luv
Hivi Le Mutuz hajatoa tamkooo? manake Kashaniblock instaa kitaaambo,
Tuendelee kupanikishana tu kwani Vepeeee!
Mwenye roho ndogo abadilishe timu😂😂😂
#NoretreatNosurrender .
ndio maana nakupenda...
Mwaaaaaaa le big kiss from WCB.
Ameshatoaaaa kitambooo
Fanya kama una attach basiiii.. Me nampenda yule babu ila ye hanipendiiii
Diamond anawasili Tanzania saa kumi n mbili muhimu kumpokea
Poa poa
Hahahaaaaaa asante (japo ni kiss la kinafiki) la WCB halitoshi kama vipi nipe lako.
Naskia nchi ya mfalme haikaliki kwaio Raisi kasema tukubali tu kupokea wakimbizi. Hakuna namna
Thank you, babu maneno kayatupaaa, kweli MTU mzima dawaa...Leo ni mafurikozzzz